Shazi Uswazini
Habari na Burudani
Monday, March 11, 2013
Matukio na Picha:
Kweli ipo haja ya kuamini ipo siku tuta ishi kama wao hii ndo supa maketi yetu huku tuishio sisi wamwisho kufika wa kwanza kuondokaBURUDANI MAKINI
Matukio na Picha:
Poleni wafanya biashara wa soko dogo la sabasaba..... hiviii na skia eti mkurugenzi kasema hajui kama soko letu limevunjwa kwamba haja pewa taarifa jamaaaaaniiii, haya..........
Matukio na Picha
Baadhi ya picha zinazoonyesha mazingira ya sasa ya stendi ya mabasi ya mkoani na vijiji vya karibu: Picha hapo juu ni stendi ya mabasi ya vijijini hapo ilipo wekwa ni pembeni ya shule ya kiserikali ya sekondari DodomaBURUDANI MAKINI
MGAO WA UMEME UNAOTESA WANANCHI MBALI NA KUPUNGUZA MAPATO YA TANESCO
Wananchi wa mkoa wa Dodoma wamewalilalamikia
shirika la umeme Tanzania TANESCO Kuwa pamoja na adha wanayoipata kutokana na
mgao wa umeme ni hasara kwao pia ni hasara kwa Tanesco kwani wanapo kata umeme wanapunguza
matumizi ambayo hupelekea kiwango kidogo cha manunuzi ya LUKU na malipo kidogo
ya bili. Kwa upande wa wanachi wengine wao walisema:sisi tunategemea umeme kujipatia
kipato cha kila siku kwa mfano sisi tunao chomelea, watu wa salon,na watu
wengine ambao bila umeme hawawezi kufanya kazi umeme unapokatika kwetu ni
hasara kubwa. UJENZI WA STENDI YA MKOA NA STENDI YA VIDALADALA YASABABISHA MSONGAMANO
Wakati mkoa wa Dodoma ukiendelea
kukua kwa kasi kufuatia kuboreshwa kwaMiundombinu na ujenzi wa kituo cha
mabasi yaendayo mikoani pamoja na ujenzi wa stendi ya Daladala maarufu kama JAMATINI umekuwa ni chanzo cha
msongamano wa magari,abiria,wafanya biashara na vibaka hali ambayo nikero kubwa
kwa wakazi Mkoa wa Dodoma. Mwandishi wetu alipozungumza na SUMATRA wao walisema:Tuliweka utaratibu mzuri wa daladala
zilizohamishwa kutoka Jamatini nakwenda eneo la Reilway ilikupisha ujenzi wa
kituo hicho cha daladala na mabasi yaendayo mikoani wao walipelekwa NANENANE sasa kama hawa wa mabasi
yaendayo mikoani wamerudi eneo walipo hamishwa watakuwa wamekaidi agizo la
Serikali. MANISPAA WAENDELEA KUWANYANYASA WAFANYABIASHARA WADOGO WA DODOMA
Waliwavunjia soko la RAILWAY wakaenda nje ya soko la MAJENGO baada ya kuwafukuza wakahamiSABASABA na usiku wa kuamkia leo wamewavunjia na kusababisha hasara
kubwa kwa wafanyabiashara hao. Wakizungumza
na SHAZI USWAZINI wafanyabiashara
hao walikuwa na haya ya kusema: Manispaa wanatunyanyasa sana na hii ni kwa sababu
walipo tuvunjia Railway wakatupeleka CHADURU
sehemu ambayo ni kando ya mji na kama unavyojua biashara zetu zinahitaji sehemu
yenye mkusanyiko wa watu. Tukaamua tukabanane soko kuu Majengo walipo tufukuza
tulienda kwa mkuu wa mkoa kulalamika ndipo Manispaa wenyewe wakatuleta hapa
sabasaba chaajabu usiku wa leo wametuvunjia bila taarifa.
Friday, March 8, 2013
BOMOA BOMOA YAENDELEA KWA KASI DODOMA MJINI
Ilianzia NJEDENGWA
ikahamia MBUYUNI hatimaye KIKUYU Na sasa kabla ya kwenda MJI MWEMA na NDACHI wameanzia CHINANGALI
WEST na watamalizia na KWA MWATANO.
Wananchi
wa mkoa wa Dodoma hususani manispaa ya Dodoma mjini imewalalamikia Mamlaka ya Ustawishaji
Makao Makuu (CDA) kwa kitendo cha kubomoa
makazi yao kwa madai ya kuboresha mji. Baadhi ya wakazi hao walisikika wakisema CDA Wamekuwa wakibomoa makazi yao
pasipo na kuwaonyesha makazi mengine ya kwenda kuishiKwa upande wa CDA tumezungumza na mkurugenzi wa CDA alijitetea kwa kusema “ Tuliwapa
taarifa mapema wale wote walio vamia na kujenga kiholela waondoke baada ya
miezi sita(6)
Sunday, February 17, 2013
SHAZI USWAZI INTRODUZE SIKILIZA ON LINE
Baada ya kubeng sana na vidio seshen on line yaani SHAZI USWAZINI sasa timu ya S.U inakuletea SIKILIZA ON LINE web radio ambayo itakuwa inakupa info tofauti tofauti kwa njia ya Audio sistim.

Saturday, November 17, 2012
SHAZI USWAZINI [Swahili webshow] Season 1, Episode 3
A swahili webshow from Dodoma Tanzania where the real talented musician where born.
It's all bout introducig upcoming artists to the GAME,.!
Hosted by different radio and TV presenters around Dom area,.!
WATCH'OUT and DONT MISS THE SHOW,.!
SEASON 1
Episode 1: Hosted by Money 1st with guest artists, Brother 2 see & JXJ [On Air now]
Episode 2: Hosted by Dj Jeff (ABM Radio 91.2 Dom) with guest artist, Slim sal [On Air now]
Episode 3: Hosted by Winston Makangale (Nyemo fm 97.7 Dom) with guest artist, Central zone & Scooby [On Air now]
Episode 1: Hosted by Money 1st with guest artists, Brother 2 see & JXJ [On Air now]
Episode 2: Hosted by Dj Jeff (ABM Radio 91.2 Dom) with guest artist, Slim sal [On Air now]
Episode 3: Hosted by Winston Makangale (Nyemo fm 97.7 Dom) with guest artist, Central zone & Scooby [On Air now]
Bofya "Endelea" kuchek the Shazi Uswazini "the best swahili webshow"
Monday, October 1, 2012
SHAZI USWAZINI [swahili webshow] Season 1, Episode 2
Hosted by DJ JEFF (ABM RADIO 91.2 DOM)
Guest artists: SLIM SAL & G SNOB
Special thanx: FAFIFU WA KITAA (Barabara ya 6)
A swahili webshow from Dodoma Tanzania where the real talented musician where born. It's all bout introducig upcoming artists to the GAME,.! Hosted by different radio and TV presenters around Dom area,.! WATCH'OUT and DONT MISS THE SHOW,.!
Subscribe to:
Posts (Atom)








